Du´aa kati ya Sujuud mbili


Swali: Je, ni katika Sunnah kuomba du´aa yoyote iliyothibiti kati ya Sijda mbili katika Qur-aan na Sunnah mbali na kusema “Allaahu ighfirliy warhamniy…”?

Jibu: Aombe kwa yaliyothibiti na ayakariri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_08.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2018