Du´aa inaombwa baada ya adhaana

Swali: Imepokelewa katika Hadiyth:

”Watu wawili hairudishwi nyuma au ni mara chache inarudishwa nyuma [du´aa yao]: ”Kuomba du´aa wakati wa adhaana.”

Je, hiyo ina maana kwamba tuombe du´aa wakati adhaana inatolewa?

Jibu: Du´aa inaombwa baada ya adhaana na si katikati yake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 128
  • Imechapishwa: 01/07/2022