Du´aa hii haikuthibiti wakati wa kukata swawm

Swali: Je, inajuzu kusema wakati wa kufuturu:

اللهم لك صمت وعلى رزقك افطرت

“Ee Allaah! Nimefunga kwa ajili Yako na nimefuturu kwa riziki Yako.”

Jibu: Hili halikuthibiti kwa Mtume (´alayhis-Salaam).

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020