Swali: Sisi tuko na ada katika mwezi wa Ramadhaan baada ya [kila Rak´ah mbili za] Tarawiyh kwamba tunaomba du´aa ya mkusanyiko ambayo inakaririwakaririwa na waswaliji na wanamalizia du´aa hiyo swalah. Ni ipi hukumu ya kitendo hicho?

Jibu: Hii ni Bid´ah. Hakuna dhikr wala du´aa. Watu wasiombe kwa pamoja. Kila mmoja aombe kivyake. Muislamu aombe baina yake yeye na Mola Wake (Jalla wa ´Alaa). Watu wasiombe du´aa wala kufanya dhikr kwa pamoja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Nuur ´alaad-Darb https://binbaz.org.sa/fatwas/27434/%D8%A7%D9%84%D8%AF%D8%B9%D8%A7%D8%A1-%D8%B9%D9%82%D8%A8-%D8%B5%D9%84%D8%A7%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%B1%D8%A7%D9%88%D9%8A%D8%AD-%D8%AC%D9%85%D8%A7%D8%B9%D9%8A%D8%A7
  • Imechapishwa: 07/05/2020