Dhikr inakinga maradhi


Swali: Kushikamana na Adhkaar kunamkinga mtu na maradhi?

Jibu: Hakuna shaka yoyote ya hilo. Ya kwamba kushikamana na uradi wa Kishari´ah, Allaah Humkinga kwao Muislamu kwa kila anachokichukia; maradhi, mabaya, Mashaytwaan na yasiyokuwa hayo. Ni kinga ya Muislamu.

  • Mhusika: Imaam Swalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=gKIS9sGWn0Y
  • Imechapishwa: 01/04/2018