Dereva, mwanamke na shaytwaan


Swali: Ni ipi hukumu ya mwanamke kupanda gari na dereva ajinabi?

Jibu: Haijuzu. Hii ni faragha. Haifai kwake kupanda gari na mwanaume ambaye sio Mahram wake. Hii ni faragha. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Mwanaume hatokuwa faragha na mwanamke isipokuwa watatu wao atakuwa ni shaytwaan.”[1]

[1] at-Tirmidhiy (2165).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Liqaa'-ul-Jumu´ah bit-Twaa'if http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17101
  • Imechapishwa: 24/09/2017