Da´wah ya Imaam Ibn ´Abdil-Wahhaab imetakasika kabisa na ugaidi


Swali: Vipi tutamraddi yule mwenye kuwakimbiza watu na Da´wah ya Shaykh [Ibn ´Abdil-Wahhaab] kwa kusema kwamba ndio chimbuko la ugaidi?

Jibu: Da´wah ya Shaykh iko wazi. Sio chimbuko la ugaidi na wala haikuleta ugaidi. Hakuna ilicholeta isipokuwa kheri katika miji na watu. Inajieleza yenyewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17206
  • Imechapishwa: 01/01/2018