Da´wah kanisani


Swali: Kuna mlinganizi mkenya ambaye aliletewa maombi azungumzie Uislamu na fadhila zake ndani ya kanisa. Je, inajuzu kwake kufanya hivo?

Jibu: Ndio. Aingie kanisani na alinganie katika Uislamu na abainishe ubora wake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akihudhuria vikao vya washirikina na akilingania kwa Allaah (´Azza wa Jall).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 10/09/2017