Daudi amejitwalia wake wengi huko Yerusalemu


13Baada ya Daudi kuondoka Hebroni, akajitwalia masuria zaidi na wake huko Yerusalemu, nao wana na binti wengi walizaliwa kwake. 14Haya ndiyo majina ya watoto waliozaliwa kwake huko: Shamua, Shobabu, Nathani, Solomoni, 15Ibihari, Elishua, Nefegi, Yafia, 16Elishama, Eliada na Elifeleti.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitabu cha Pili cha Samweli 5:13