Swali: Kuna walinganizi wa kike ambao wanaeneza darsa zao katika mitandao ya kijamii ili wanamme na wanawake wote wasikilize. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah?
Jibu: Ikiwa sauti zao ni zenye kufitinisha, haijuzu. Lakini ikiwa sauti zao si zenye kufitinisha, haina neno.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (28)
- Imechapishwa: 05/02/2022