Swali: Mimi ni mara yangu ya kwanza ninakaa katika darsa hizi zilizobarikiwa. Kwa kweli nataka kukaa kwenye darsa na kutafuta elimu lakini sina kazi iwezayo kunihudumia isipokuwa kazi kati ya Maghrib na ´Ishaa. Je, nitanguliza masomo au riziki?

Jibu: Ikiwa huna kitu tafuta riziki ili usiwe na haja ya kuwaomba watu. Riziki unayoihitajia ndio yenye kutangulizwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020