Darsa kwa wanawake pasi na pazia

Swali: Inafaa kwa mwanaume kuwafunza wanawake ajinabi pasi na pazia?

Jibu: Hapana, pasi na pazia. Hata hivyo inafaa kuwafunza ikiwa kuna pazia inayowatenganisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017