771- Ahmad ametuhadithia: Hammaad bin Khaalid ametuhadithia, kutoka kwa Ibn Abiy Dhi´b, kutoka kwa az-Zuhriy ambaye amesema:

“Inafaa kwa mwanamke mwenye damu ya ugonjwa kutufu kwenye Nyumba, kutembea kati ya Swafaa na Marwah na kufanya jimaa na mume wake.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 163
  • Imechapishwa: 26/03/2021