Damu ya kwenye meno wakati wa kutawadha inaharibu wudhuu´?

Swali: Wudhuu´ unaharibika nikiwa natawadha na nikatokwa kwenye meno yangu na damu hata kama itakuwa nyingi?

Jibu: Hapana, haiharibu wudhuu´ wako – Allaah akitaka. Kamilisha wudhuu´ wako na uswali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017