Damu ya fisi ni tiba inayokubalika Kishari´ah?

Swali: Je, damu ya fisi ni dawa ya baadhi ya maradhi? Nimemuona mtu anainywa na kusema kwamba ni dawa?

Jibu: Damu yake ni najisi. Damu yenye kuchirizika wakati wa kuchinja haitumiwi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Allaah hakufanya kupona kwa Ummah wangu kwa yale aliyoharamisha.”

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191047#191047
  • Imechapishwa: 01/09/2018