Damu kuendelea kutoka baada ya siku 40


Swali: Mwanamke huyu alizaa na damu ya uzazi ikaendelea kutoka baada ya siku 40. Je, damu hii ni ya hedhi au damu isiyokuwa na maana? Daktari wake amemwambia kuwa ni damu ya hedhi.

Jibu: Ikiwa damu inaenda sambamba na damu ya hedhi, basi itakuwa ni hedhi. Vinginevyo itakuwa sio hedhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (55) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16503
  • Imechapishwa: 23/09/2017