Damu inayotoka zaidi ya siku tatu kabla ya kuzaa

Swali 173: Ni ipi hukumu mwanamke mwenye nifasi akiona damu kabla ya kuzaa kwa zaidi ya siku tatu?

Jibu: Uwazi wa maneno ya Fuqahaa´ (Rahimahumu Allaah) ni kwamba yale atayoona mwanamke wa nifasi kabla ya kuzaa kwa zaidi ya siku tatu basi hiyo ni damu fasadi. Haithibitishi hukumu ya nifasi japokuwa atahisi uchungu katika wakati huo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 121
  • Imechapishwa: 04/10/2019