Damu inayotoka kati ya meno inaharibu swawm?


Swali: Damu inayotoka kati ya meno kimakosa inafunguza au hapana? Vipi ikiwa ni yenye kutoka kwa mtu mwingine aliyempiga kimakosa?

Jibu: Damu inayotoka kati ya meno haifunguzi. Ni mamoja iwe imetoka yenyewe au iwe mtu amempiga.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/267)
  • Imechapishwa: 11/06/2017