Damu inayomtoka mwanamke kabla ya kuzaa


Swali: Damu inayokuwa kabla ya kuzaa kwa siku moja au mbili na imekatamana na uzaaji inazingatiwa kuwa ni nifasi?

Jibu: Ndio. Damu inayokuwa imekamatana na nifasi, katika damu, rangi nyekundu au zambarau, ni katika nifasi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14115
  • Imechapishwa: 17/11/2014