Swali: Mwaka mmoja na nusu uliyopita Allaah ameniruzuku mtoto wa kiume na sikuchinja mbuzi mbili kwa kutokuwa na uwezo. Je, naweza kuchinja sasa?

Jibu: Wakati haujakupita. Chinja wakati utaweza. Wakati wa ´Aqiyqah haujakupita.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 06/02/2017