Bora ni kusoma na kuitikia “Aamiyn” kwa sauti


Swali: Mtu akiswali swalah ya ´Ishaa peke yake asome kwa sauti ya juu na aitikie “Aamiyn” peke yake?

Jibu: Ilivyopendekezwa ni yeye asome kwa sauti ya juu. Asome kwa sauti ya juu katika Fajr, ´Ishaa na Maghrib. Aidha anatakiwa kuitikia “Aamiyn” kwa sauti ya juu. Ni mamoja ameswali peke yake au pamoja na mkusanyiko. Akisoma kimyakimya pia swalah yake inasihi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (20)
  • Imechapishwa: 27/06/2021