Swali: Je, inafaa kwa wanawake kufanya muhadhara kati ya dada zake au msikitini katika Ramadhaan?

Jibu: Bora na salama zaidi afanye hivo nyumbani kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=2vQdgZLzLuI
  • Imechapishwa: 12/05/2020