Swali: Ni lepi bora zaidi kati ya haya mawili; kwenda kuswali swalah ya ijumaa kwenye msikiti al-Hayy ambapo napaendea kwa kutembea na miguu au kwenye msikiti huu ambao nahudhuria kwa gari kwa ajili ya kuhudhuria jeneza?

Jibu: Ni jambo sahali. Atazame kilicho na kilicho na manufaa zaidi na bora zaidi juu ya yako. Hapana shaka kwamba kutembea kwa miguu ndio bora zaidi. Akiweza kutembea kwa miguu ndio bora zaidi. Lakini ukichagua msikiti ambao unafaidika kwa sababu ya Khatwiyb hili ni jambo zuri.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/100/%D9%87%D9%84-%D8%A7%D9%84%D8%A3%D9%81%D8%B6%D9%84-%D8%A7%D9%84%D8%B0%D9%87%D8%A7%D8%A8-%D9%85%D8%A7%D8%B4%D9%8A%D8%A7-%D9%84%D9%84%D8%AC%D9%85%D8%B9%D8%A9-%D8%A3%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%B1%D9%83%D9%88%D8%A8-%D9%84%D9%84%D8%B5%D9%84%D8%A7%D8%A9-%D8%B9%D9%84%D9%89-%D8%A7%D9%84%D8%AC%D9%86%D8%A7%D8%A6%D8%B2%D8%9F
  • Imechapishwa: 15/12/2019