Bora katika du´aa ya kufungulia swalah


Swali: Ni ipi bora kila siku kusoma du´aa aina moja ya kufungulia swalah katika swalah zake zote au bora ni kubadilibadili[1]?

Jibu: Ikiwa ni rahisi bora ni kubadilibadili.

[1] Tazama http://firqatunnajia.com/13-duaa-ya-kufungulia-swalah/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 100-101
  • Imechapishwa: 15/07/2018