Bishara njema ya Mtume Muhammad (صلى الله عليه وسلم) ndani ya Biblia 04

12Hakika mimi bado nina mengi ya kukwelezeni, lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa. 13Lakini pale atakapokujieni, huyo Roho wa kweli, basi atakuongozeni katika ukweli wote; kwa maana hatoongea kutoka kwake mwenyewe, bali atafikisha yale yote anayosikia na kukujuzeni mambo yanayokuja. 14Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atachukua katika yaliyo yangu na kuwajuzeni nayo.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Yohana 16:12-13
  • Imechapishwa: 22/02/2020