Bishara njema ya Mtume Muhammad (صلى الله عليه وسلم) ndani ya Biblia 03

Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nilikuwa pamoja nanyi. 5Ama hivi sasa mimi naenda zangu kwa yule aliyenituma, wala hakuna yeyote katika nyinyi aniulizaye: Unakwenda wapi? 6ila kwa sababu nimewaambieni hayo huzuni imejaa mioyoni mwenu. 7Lakini mimi nawaambieni ukweli: ni wema kwenu mimi niondoke. Kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatokujieni. Lakini mimi nikienda zangu basi nitakutumieni naye, 8naye pindi atapokuja, atauonyesha ulimwengu dhambi na haki na hukumu ni kitu gani.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Yohana 16:05-08
  • Imechapishwa: 22/02/2020