Swali: Inafaa kwa bibi wa mke kujifunua mbele ya mume? Je, ni Mahram wake?

Jibu: Ndio. Bibi wa mke ni mama wa mke:

حُرِّمَتْ عَلَيْكُمْ أُمَّهَاتُكُمْ وَبَنَاتُكُمْ وَأَخَوَاتُكُمْ وَعَمَّاتُكُمْ وَخَالَاتُكُمْ وَبَنَاتُ الْأَخِ وَبَنَاتُ الْأُخْتِ وَأُمَّهَاتُكُمُ اللَّاتِي أَرْضَعْنَكُمْ وَأَخَوَاتُكُم مِّنَ الرَّضَاعَةِ وَأُمَّهَاتُ نِسَائِكُمْ

“Mmeharamishiwa [kuwaoa] mama zenu na wasichana wenu na dada zenu na shangazi zenu na makhalati wenu na wasichana wa kaka na wasichana wa dada na mama zenu ambao wamekunyonyesheni na ndugu zenu kwa kunyonya na mama wa wake zenu… “ (04:23)

Mama anakusudiwa yule wa karibu na wa mbali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (11) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/14466
  • Imechapishwa: 14/10/2017