Bibi mnaswara


Swali: Bibi yangu ni mnaswara. Inajuzu kwangu kumpa zawadi na nyama katika ´Iyd-ul-Adhwhwaa?

Jibu: Ndio, inajuzu kufanya hivo. Mfanyie wema. Wazazi japo ni makafiri watendee wema. Bibi ni mzazi. Kwa hivyo mtendee wema.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
  • Imechapishwa: 19/09/2017