Bibi au babu kuwapa zakaah wajukuu


Swali: Je, inajuzu kumpa zakaah mtoto wa msichana wangu ambaye anataka kuoa na kujenga nyumba?

Jibu: Hapana. Haifai kwa mzazi kumpa zakaah mtoto wake. Bibi ni mzazi. Haijuzu kufanya hivi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (74) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-25-01-1439H-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2017