Bibi anataka kutumiwa picha za wajukuu wake

Swali: Je, inajuzu kuwapiga picha watoto wangu na kumtumia nazo mama yangu kwa sababu mimi niko mbali na yeye anataka kuwaona na baada ya hapo anazichana picha hizi?

Jibu: Hii ni zawadi ya picha. Unampa mama yako zawadi ya picha? Hili halijuzu. Huku sio kumtendea wema mama yako.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2121
  • Imechapishwa: 01/07/2020