Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya biashara ya nyani?

Jibu: Ni haramu. Ni haramu kufanya biashara ya nyani, mijibwa na wanyama wakali. Zote hizi ni haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 28/11/2020