Biashara ya wanyama wa mifugo

Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya biashara wanyama wa kufuga kama paka na ndege?

Jibu: Haijuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza biashara ya paka. Haijuzu kufanya biashara ya paka wala biashara ya mbwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 20/07/2019