Biashara ya vitabu vya uchawi


Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka na kuuza vitabu vya uchawi?

Jibu: Ni munkari na kueneza uchawi. Kueneza vitabu vya uchawi ni munkari. Ni wajibu kukemea mauzo ya vitabu hivi, kuvichana na kumuadhibu mwenye kuvieneza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (07) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/07.mp3
  • Imechapishwa: 13/01/2019