Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya biashara na makafiri mbali na mayahudi na manaswara?

Jibu: Hakuna neno kufanya biashara na watu wote; mayahudi, manaswara na wengine:

وَأَحَلَّ اللَّـهُ الْبَيْعَ

”Allaah amehalalisha biashara.”[1]

Msingi ni kwamba inafaa. Kwa hiyo inafaa kufanya biashara na kila mtu, waislamu na makafiri.

[1] 02:275

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (19)
  • Imechapishwa: 29/01/2022