Swali: Ni ipi hukumu mwanamke kuvaa barakoa katika hajj au ´umrah?

Jibu: Wako wanazuoni wenye kuona kuvaa barakoa ni katika mambo yaliyokatazwa katika Ihraam na kwamba ambaye atalazimika kuivaa basi afanye hivo na baadaye atoe fidia ambayo ni ima kulisha masikini sitini ambapo kila mmoja atampa 1,5 kg ya mchele, kuchinja kondoo au kufunga siku tatu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-لبس-الكمامات-للمرأة-في-الحج-أو-العمرة
  • Imechapishwa: 12/06/2022