Baki maeneo yako mpaka umalize Adhkaar


Swali: Kuna ubaya mswaliji kuhama kutoka maeneo fulani kwenda maeneo mengine moja kwa moja baada ya imamu kutoa salamu?

Jibu: Hilo ni jambo linalofaa na sio haramu. Bora ni yeye kubaki maeneo yake mpaka pale atakapomaliza kufanya Adhkaar.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (19)
  • Imechapishwa: 05/02/2021