Bainisha upotevu wa Raafidhwah na mapote mengine


Swali: Mimi ni imamu na Khatwiyb katika mji wangu. Je, ni wajibu kwangu kutahadharisha madhehebu ya Raafidhwah?

Jibu: Tahadharisha madhehebu yote ya batili. Kila dhehebu la batili tahadharisha nalo na wakati huo huo bainisha madhehebu sahihi. Bainisha yale waliyomo Salaf-us-Swaalih; Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Wabainishie watu. Sambamba na hilo bainisha batili ya madhehebu mengine yote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13980
  • Imechapishwa: 04/04/2018