Bado hatujafikia huko


Swali: Wakati fulani mwanafunzi anayeanza hawezi kuyapa nguvu (الترجيح) maoni fulani katika Fiqh. Katika hali hii analazimika…

Jibu: Hujafikia kiwango cha kuyapa nguvu maoni fulani. Tendea kazi yale uliyoyasoma katika vitabu vya wanachuoni. Tendea kazi hilo. Vinginevyo ulizia juu ya fatwa na ifanyie kazi. Ama kusema kwamba umefikia kiwango cha kuyaweza kuyapa nguvu maoni fulani bado.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (11) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/14466
  • Imechapishwa: 05/03/2021