Swali 10: Nini maana ya maneno yako kwamba kila mtu mmojammoja katika Baatwiniyyah yuko Motoni?

Jibu: Ndio, wako Motoni kwa sababu ni makafiri. Sisi hivi sasa tunasema kuwa mayahudi na manaswara wako Motoni. Hilo ni tofauti na Shiy´ah. Sisi tunasema kuwa Shiy´ah wako Motoni. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Kila Bid´ah ni upotevu na kila upotevu ni Motoni.”

Lakini hatusemi kuhukumu kwamba kila mtu mmojammoja [katika Shiy´ah] kwamba wako Motoni. Lakini Baatwiniyyah hawa wanaikanusha Shari´ah yote. Haya yalidhihiri kwa ´Aliy bin al-Fadhwl al-Qarmaatwiy – Allaah asimrehemu – wakati aliposhika utawala na akawa na nguvu Yemen.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tuhfat-ul-Mujiyb, uk. 38 https://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=484
  • Imechapishwa: 22/10/2019