Baadhi ya vitabu ambavyo mwanafunzi mwanamke anapaswa kuwa navyo


Swali: Ni vitabu vipi ambavyo unamnasihi mwanamke wa Kiislamu kuwa nayo?

Jibu: Tunavyomnasihi navyo ni kwa mfano; “Riyaadh-us-Swaalihiyn”, “Fath al-Majiyd” ambacho ni Sharh Kitaab-ut-Tawhiyd, “al-Lu-ul wal-Marjaan” na “Buluugh-ul-Maraam”. Hivi ni kwa mwanamke ambaye anaweza kusoma na kuandika. Ni vitabu ambavyo ni mukhtaswari. Hali kadhalika kitabu cha ndugu yetu Muhammad “al-Qawl al-Mufiyd”. Ama kwa mwanamke mwenye uwezo wa kufanya utafiti na uhak-ikisho, inatakikana kwake kuwa na Maktabah kubwa kadiri na atakavyoweza. Alhamdulillaah.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=1596
  • Imechapishwa: 07/03/2018