Swali: Ipi nasaha zako kwa anayeoa kwa wale wasiyo katika jamii yake ambapo anaishi, mwanamke kutoka magharibi kwa mfano?

Jibu: Ndugu yetu anatakiwa kuoa mwanamke muislamu, mwema, mtiifu, mwenye msimamo, atakayekusaidia katika mambo ya dini yako.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.olamayemen.net/Default_ar.aspx?ID=567
  • Imechapishwa: 22/09/2020