Baadhi ya makosa ya Yahyaa al-Hajuuriy kwa Maswahabah

Swali: Shaykh! Ulibadilisha chochote kuhusiana na Yahyaa al-Hajuuriy kutokana na uliyosema?

Jibu: Hapana, sikubadilisha kitu na similiki kubadilisha kitu. Bado naonelea niliyoyasema. Sisi tuko na dalili ya Bid´ah na upotevu aliyomo. Miongoni mwa hayo ni haya yafuatayo:

1 – Maswahabah walishiriki katika kumuua ´Uthmaan.

2 – Watu wa Badr walimuasi Allaah mara tatu.

3 – Irjaa´ ilipoanza ilikuwa ni kupitia kwa Maswahabah. Akatolea kisa cha Abu Bakr na ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) kilichokuja katika Hadiyth.

Vilevile kuna mengine.

  • Mhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/site/audios/Rodod/14AqwalOlamaaFiya7yaAl7ajori.mp3
  • Imechapishwa: 06/09/2020