´Azzuuz na Duhaym


Swali: Inajuzu kumuita anayeitwa ´Abdul-´Aziyz “´Azzuuz” na anayeitwa ´Abdur-Rahmaan “Duhaym”?

Jibu: Ndio. Hakuna neno. Makusudio ni yule mtu anayemwita, hamkusudii Mola (Subhaanahu wa Ta´ala).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2017