Swali: Ni sahihi kuwakufurisha ´Awwaam wa Raafidhwah au inahusiana tu na wale wanachuoni wao?

Jibu: Allaah hakukubebesha suala hili. Lakini unatakiwa kuazimia kwa kuamini kuwa anayemshirikisha Allaah, akawaabudu mawalii na watu wema, akaitakidi kuwa kuna mwengine asiyekuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amekingwa na kukosea, kuwatukana Maswahabah na akamlaani Abu Bakr na ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) kuwa ni kufuru. Hili halina shaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (15) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_27-07-1433.mp3
  • Imechapishwa: 23/05/2018