´Awwaam na A´udhubillaah wakati wa kwenda miayo

Swali: Je, imethibiti ya kwamba anayekwenda miayo aseme “A´udhubi llaahi minash-Shaytwaani rajiym” kwa kuwa miayo unatokamana na shaytwaan?

Jibu: Hili halikuthibiti. Hili linafanywa na ´Awwaam. ´Awwaam ndio wanaomba kinga dhidi ya shaytwaan. Pamoja na hivyo ni kitu ambacho hakikuthibiti kutokana na ninavyojua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-11-02.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014