Swali: Je, imethibiti ya kwamba anayepiga mwayo aseme “A´udhubi llaahi minash-Shaytwaani rajiym” kwa kuwa mwayo unatokamana na Shaytwaan?
Jibu: Hili halikuthibiti. Hili linafanywa na ´Awwaam. ´Awwaam ndio wanaomba kinga dhidi ya Shaytwaan. Pamoja na hivyo ni kitu ambacho hakikuthibiti kutokana na ninavyojua.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-11-02.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014