Athari mbaya za Wahdat-ul-Wujuud

Miongoni mwa athari za madhehebu haya [Wahdat-ul-Wujuud] ni kwamba wanaonelea kuwa hakuna tofauti kati ya uzinzi na ndoa, pombe na maji, mama na baba na ajinabi. Wote hawa ni kama kitu kimoja. Kwa sababu kuna uwepo mmoja tu.

Kwa hivyo ni lazima kwa mwanafunzi awe na ujuzi na awe na tahadhari na madhehebu haya machafu ambayo ndio madhehebu ya kikafiri zaidi katika ardhi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (01/159-160)
  • Imechapishwa: 30/05/2020