at-Turaabiy Kuhusu Tofauti Kati Ya Ahl-us-Sunnah Na Raafidhwah

Shiy´ah wanalingania kwa bidii na juhudi kwelikweli Afrika na Marekani. Ni wangapi ambao Shiy´ah wamewafanya kuwa upande wao na wakawa ni vibaraka wao! at-Turaabiy – Allaah auzamishe uso wake kwenye udongo – anasema kuwa hakuna tofauti kati ya Suuniy na Shiy´iy.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.net/sounds.php?sound_id=16
  • Imechapishwa: 11/03/2017