Aswali peke yake nyuma ya safu?


Swali: Kuna mtu ameingia msikitini na akawakuta watu wanaswali ilihali safu imeshajaa. Je, inafaa kwake kuswali peke yake nyuma ya safu?

Jibu: Hapana. Ima ajiunge na safu hiyo, asimame kuliani kwa imamu au asubiri atapokuja mtu aunge naye safu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/10/2018