Swali: Je, imeshurutishwa Khutbah iwe kwa lugha ya kiarabu?

Jibu: Ndio, hii ndio asli. Hii ndio asli. Isipokuwa ikiwa kama wasikiliza wote au wengi wao hawafahamu lugha ya kiarabu. Katika hali hiyo utawatolea kwa lugha yao.

  • Mhusika: Fawzaan al-Fawzaan Imaam Swaalih bin
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014